Mlango Wa Tatu (Three Doors Down)
By:
Sign Up Now!
Already a Member? Log In
You must be logged into Bookshare to access this title.
Learn about membership options,
or view our freely available titles.
- Synopsis
- Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo ndefu: Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?
- Copyright:
- 2012
Book Details
- Book Quality:
- Publisher Quality
- ISBN-13:
- 9781585716562
- Related ISBNs:
- 9781585713325
- Publisher:
- Kensington
- Date of Addition:
- 02/11/15
- Copyrighted By:
- Michele Sudler
- Adult content:
- No
- Language:
- English
- Has Image Descriptions:
- No
- Categories:
- Romance, Literature and Fiction
- Submitted By:
- Bookshare Staff
- Usage Restrictions:
- This is a copyrighted book.